Search This Blog

Thursday, August 22, 2019

TAARIFA MUHIMU KWA WAOMBAJI WA VYUO VIKUU 2019/2020

Napenda kutoa pongezi kwa waliochaguliwa awamu hii ya kwanza (round 1).

Lakini kwa wengine ambao hatujapata nafasi bado kuna nafasi ikiwemo round two na three. Chamsingi angalia yafuatayo.

1. vigezo gani vinahitajika katika kozi husika.
2.ufaulu wako
3.baadhi ya vyuo kama UDSM vina ushindani mkubwa. Kwa sasa angalia kuna vyuo vingine na vizuri ila wati hawaombi ikiwemo NIT, TIA, DIT, SAUT, IFM na vingine vingi.
4.baadhi ya kozi tayari zmejaa kwahiyo usirudie kuomba tena hutapata nafasi omba zenye nafasi.

KWA WENYE MULTIPLE SELECTION.
kama umepata codes hakikisha unaconfirm mapema katika chuo pendwa.

Kuna wale wasioridhika na vyuo walivyochaguliwa. Unaweza kuomba tena lakini hii huwa inakuja kuleta shida ya mkopo kwa baadae. Hapo utakutana na matatizo ya mis-allocation. Upo UDSM na mkopo wako uko SUA.
kuepuka hilo nenda tu chuo ulichochaguliwa kwa kuwa uliomba kumaanisha ulikipenda.

KARIBUNI SANA VYUONI.



Kwa msaada zaidi juu ya
   1. Namna ya kuconfirm baada ya kupata codes kutoka TCU.
   2. Kufanya maombi ya chuo kwa walikosa.
   3.waliosahahu nyirwa (password)
   4.kuangalia majibu yani selection.
   5. Na kwa matatizo yoyote juu ya udahili


Wasiliana nasi sms/call/ whatsapp 0765773652.
Email: noelamos21@gmail.com.


Wednesday, June 5, 2019

UCHAGUZI DARUSO.๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ HAYA NDIO ALIYOYASEMA MGEMBEA UENYEKITI BLOCK E MABIBO

NDUGU ZANGU NAITWA *MATHAYO KIPONGI* NI MGOMBEA WA BLOCK E MABIBO NAFASI YA MWENYEKITI.๐Ÿ™

✍๐ŸพNatanguliza shukurani zangu kwa Mungu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

ndugu zangu wakazi wa Block E ninaombeni ridhaa yenu ya kuwawakilisha na kuwatatulia matatizo mbalimbali yanayo tukumba sotee.

Nitakuwa muanibikaji wa yafuatayo.
*1. USAFII*
      ๐Ÿ‘‰huu utafanyika kwa muda ili kupisha wanafunzi wakati wa kujiandaa na shule
       ๐Ÿ‘‰utafanyika kila kona ya block kwa ustadii wa juu✅๐Ÿ™๐Ÿ™
*2.UKARABATI*
๐Ÿ‘‰vyoo
     -bafu
      -viti
      - soket
      -Taa
       -sakafu N.K
*3.ULINZI NA USALAMA*
๐Ÿ‘‰kuweza kubadili vitasa
๐Ÿ‘‰kuonyesha sehemu elekezii kwa kuhifadhi vifaa vyako vya gharama kama laptop pindi unaenda sehemu
๐Ÿ‘‰kuweka vikao ili kugundua mbinu nyingi za kuepuka๐Ÿ™
*4.UMOJA NA USHIRIKIANO*
๐Ÿ‘‰hili ni jambo la vitabu vitakatifu hivyo nitahakiki ushirikiano utakuepo
     -kwa kuanzisha group la pamoja kama hili.
    - kuweka sanduku la maoni✅๐Ÿ™๐Ÿ™
*5.KUTATUA  USUMBUFU WA AUXILIARY POLICE KWA WANABLOCK*
            -kuwasumbua watu wakianika nguo zao 
            - kuwarubuni watu na kutaka rushwa ya fedha (ikikukuta naomba usitoe hata mia unitafute ntakusaidia)
*6.UMEME* 
*7.USAMBAZAJI WA MAJI KATIKA KILA FLOOR*
  - hii ni kwa floor zote 3. kwani kumekua maranyingi hawa washii mota za kupandisha majii kwa kuwepo na ubovu wa taps za majii hivyo nitalishughulikiaa๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™


*MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO MATHAYO* 

*CHAIRPERSON CHAIRPERSON CHAIRPERSON BLOCK E*✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Friday, April 5, 2019

INTERCOLLEGE COMPETITION TO BEGIN



Kesho CONAS itakua ikichuana vikali  na COSSpande za campus mida ya saa 3:30

Wenyeviti wa college hizo mbili wametambiana vikali juu ya ubora wa timu zao na kila mmoja akimwahidi mwenzie kurudi na ushindi.
Lakini pia wametumia fursa hiyo kuhimiza uwepo wako wewe kama shabiki mkuu wa college yako...kufika bila kukosa kwenye mtanange huu mkali wa kukata na shoka.
Ni katika viwanja vya mabibo.
     Anza weekend yako na burudani murua kabisa.

                          Kindly share.....

Kuendelea kufatilia mtanange huu pamoja na taarifa nyinginezo nyingi kuhusu chuo chetu usiache kutembelea blogu  hii www.mpyachuoni.blogspot.com/

Thursday, April 4, 2019

TAARIFA MUHIMU KUHUSU BIMA.


New.         New        New       New      New


*TANGAZO KUHUSU UGAWAJI WA BIMA ZA AFYA*

Kesho Ijumaa tarehe 05/04/2019 kutakuwa na zoezi la ugawaji wa bima za afya kwa WanaCoHU.

 *Zoezi hilo litafanyika ofisi ya waziri mkuu hall 6 kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nane kamili mchana*

Tunasisitiza sana kwa wote mwaka wa kwanza na wengine ambao hawajapata bima zao kujitokeza bila kukosa ili kuepuka usumbufu.

Kindly share

Tuesday, April 2, 2019

TANGAZO MUHIMU KWA WANA COSS ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

Sasa CoSS ni ruhsaaa kusaini boom/ada na ID za zamani.

๐Ÿค


Imetolewa na mwenyekiti wa college ya COSS mapema leo

Monday, April 1, 2019

HAYA HAPA MAKUNDI YA INTER COLLEGE COMPETITION UDSM


*MAKUNDI YA INTER COLLEGE COMPETITION UDSM⚽*
 NEW .....NEW.....NEW.....NEW

KUNDI A.
1.COSS 2.CONAS 3.SJMC

*KUNDI B*
1.COICT 2.COET 3.UDSOL

*KUNDI C*
1.Mabingwa Watetezi(COHU) 2.UDBS 3.IDS

*KUNDI D*
1.SOED 2.IKS .COAF.

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
       Kindly share

Sunday, March 31, 2019

NI MTANANGE MKALI BAINA YA COSS NA COHU MDAA NDO HUU .....NJOO MABIBO USHUHUDIE


zikiwa zimebakia dakika chache mpira kuanza una karibishwa kushangilia college yako.....iwe ni COSS wababe wa UDSM au COHU wale BAED....
                       USISUBIRI KUADITHIWA